Ufafanuzi wa upuuzi katika Kiswahili

upuuzi

nominoPlural upuuzi

  • 1

    jambo la kijinga lisilo na maana.

    mavi

Matamshi

upuuzi

/upu:zi/