Ufafanuzi wa urafiki katika Kiswahili

urafiki

nominoPlural urafiki

  • 1

    uhusiano mwema baina ya mtu na mtu, nchi na nchi au jamii na jamii.

    usuhuba, suhuba, usahibu, usena, wenzi

Asili

Kar

Matamshi

urafiki

/urafiki/