Ufafanuzi wa uraibu katika Kiswahili

uraibu

nominoPlural uraibu

  • 1

    kitu unachopenda kukitumia k.v. sigara, tambuu au kahawa, kama mazoea.

Asili

Kar

Matamshi

uraibu

/uraIbu/