Ufafanuzi wa urais katika Kiswahili

urais

nominoPlural urais

  • 1

    nafasi au wadhifa wa kiongozi mwenye cheo cha rais.

    ‘Mgombea kiti cha urais awe na umri zaidi ya miaka 40’

Asili

Kar

Matamshi

urais

/uraIs/