Ufafanuzi wa urazini katika Kiswahili

urazini

nominoPlural urazini

  • 1

    sababu za msingi za kufanya jambo.

  • 2

    maelezo ya kanuni, misingi au sababu.

Matamshi

urazini

/urazini/