Ufafanuzi wa urembo katika Kiswahili

urembo

nominoPlural urembo

 • 1

  kitu kinachotumika kama pambo.

  uzuri, pambo

 • 2

  nakshi

 • 3

  umaridadi, ulimbwende, umbeja, bombwe, kienzo, haiba, kazi

Matamshi

urembo

/urɛmbɔ/