Ufafanuzi wa usaliti katika Kiswahili

usaliti

nominoPlural usaliti

  • 1

    tendo la kutoa siri za k.v. mtu, kikundi au nchi kwa adui wa mtu, kikundi au nchi hiyo.

    utimbakwiri

Asili

Kar

Matamshi

usaliti

/usaliti/