Ufafanuzi wa usambazaji katika Kiswahili

usambazaji

nominoPlural usambazaji

  • 1

    hali ya kueneza vitu au huduma k.v. maji, umeme au mawasiliano.

Matamshi

usambazaji

/usambazaʄi/