Ufafanuzi wa usambiko katika Kiswahili

usambiko

nominoPlural usambiko

  • 1

    tabia ya kulazimisha watu kufanya jambo fulani.

Matamshi

usambiko

/usambikɔ/