Ufafanuzi wa usenge katika Kiswahili

usenge

nominoPlural usenge

  • 1

    hali ya mwanamume kufanya mapenzi na mwanamume mwenziwe.

    ushoga

Matamshi

usenge

/usɛngɛ/