Ufafanuzi wa ushabiki katika Kiswahili

ushabiki

nominoPlural ushabiki

  • 1

    tabia au hali ya kupenda sana au kupapatikia jambo au kitu; hali ya kuwa shabiki.

Asili

Kar

Matamshi

ushabiki

/u∫abiki/