Ufafanuzi wa ushaufu katika Kiswahili

ushaufu

nominoPlural ushaufu

  • 1

    tabia ya kujivuna.

Asili

Kar

Matamshi

ushaufu

/u∫awufu/