Ufafanuzi msingi wa ushemasi katika Kiswahili

: ushemasi1ushemasi2

ushemasi1

nominoPlural ushemasi

Kidini
  • 1

    Kidini
    kazi ya mtu wa daraja ya chini ya ukasisi.

Asili

Kar

Matamshi

ushemasi

/u∫ɛmasi/

Ufafanuzi msingi wa ushemasi katika Kiswahili

: ushemasi1ushemasi2

ushemasi2

nominoPlural ushemasi

Kidini
  • 1

    Kidini
    sifa ya mtu anayejifunza upadri ambaye anakaribia kuhitimu mafunzo.

Matamshi

ushemasi

/u∫ɛmasi/