Ufafanuzi wa ushindani katika Kiswahili

ushindani

nomino

  • 1

    hali ya kushindana.

Matamshi

ushindani

/u∫indani/