Ufafanuzi wa ushinzi katika Kiswahili

ushinzi

nominoPlural ushinzi

  • 1

    hali ya kwenda na kukaa mahali, hasa nyumbani kwa jamaa, kutwa nzima.

Matamshi

ushinzi

/u∫inzi/