Ufafanuzi wa ushirikishaji katika Kiswahili

ushirikishaji

nominoPlural ushirikishaji

  • 1

    tendo la kuhusisha watu au taasisi nyingine katika kutenda jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

ushirikishaji

/u∫iriki∫aʄi/