Ufafanuzi wa ushonaji katika Kiswahili

ushonaji

nominoPlural ushonaji

  • 1

    namna au jinsi ya kushona.

    ushoni

Matamshi

ushonaji

/u∫ɔnaʄi/