Ufafanuzi msingi wa usinga katika Kiswahili

: usinga1usinga2usinga3

usinga1

nomino

  • 1

    nywele za k.v. nyumbu au farasi, penginepo huvaliwa mkononi kama bangili.

Matamshi

usinga

/usinga/

Ufafanuzi msingi wa usinga katika Kiswahili

: usinga1usinga2usinga3

usinga2

nomino

Matamshi

usinga

/usinga/

Ufafanuzi msingi wa usinga katika Kiswahili

: usinga1usinga2usinga3

usinga3

nomino

  • 1

    uchawi wa kutiwa tego, hasa hutumika kwa njia za uasherati.

    ‘Tegewa usinga’

Matamshi

usinga

/usinga/