Ufafanuzi wa ustadi katika Kiswahili

ustadi

nomino

  • 1

    hali ya kuwa stadi.

    ufarisi, ufundi

Asili

Kaj

Matamshi

ustadi

/ustadi/