Ufafanuzi wa utalii katika Kiswahili

utalii

nominoPlural utalii

  • 1

    hali ya kusafiri mbali au kuvinjari huku na huko ili kuyafurahia mandhari.

  • 2

    shughuli ya kuwahudumia watalii.

Asili

Kar

Matamshi

utalii

/utali:/