Ufafanuzi wa utandawazi katika Kiswahili

utandawazi

nominoPlural utandawazi

  • 1

    mfumo wa uhusiano wa kimataifa katika nyanja mbalimbali k.v. biashara, uchumi au siasa uliowezeshwa na maendeleo ya teknolojia ya habari yanayofanya mataifa na jamii kuwasiliana kwa urahisi.

Matamshi

utandawazi

/utandawazi/