Ufafanuzi wa utangule katika Kiswahili

utangule

nomino

  • 1

    kamba za kumbi au kozi la mnazi.

    ung’ongo

Matamshi

utangule

/utangulɛ/