Ufafanuzi wa utangulizi katika Kiswahili

utangulizi

nominoPlural utangulizi

  • 1

    namna ya kutangulia.

  • 2

    maelezo yanayoandikwa mwanzo kuwa ni muhtasari wa mada.

    dibaji

Matamshi

utangulizi

/utangulizi/