Ufafanuzi wa utani katika Kiswahili

utani

nominoPlural utani

  • 1

    taratibu za kimila ambazo zinawafanya watu kuambiana au kutendeana jambo lolote bila ya chuki.

  • 2

    maneno ya kutania.

    dhihaka, masihara, mzaha

Asili

Kar

Matamshi

utani

/utani/