Ufafanuzi wa Utatu Mtakatifu katika Kiswahili

Utatu Mtakatifu

nominoPlural Utatu Mtakatifu

Kidini
  • 1

    Kidini
    imani ya madhehebu ya Ukristo kuwa Mungu yuko katika nafsi tatu, ‘Baba’, ‘Mwana’ na ‘Roho Mtakatifu’.

Matamshi

Utatu Mtakatifu

/utatu mtakatifu/