Ufafanuzi wa utengenezaji katika Kiswahili

utengenezaji

nominoPlural utengenezaji

  • 1

    namna au jinsi ya kufanya kitu kilichoharibika kiwe kizima.

  • 2

    uundaji wa kitu.

    uundaji

Matamshi

utengenezaji

/utɛngɛnɛzaʄi/