Ufafanuzi wa uteremkaji katika Kiswahili

uteremkaji

nomino

  • 1

    namna au hali ya kuteremka.

Matamshi

uteremkaji

/utɛrɛmkaʄi/