Ufafanuzi wa utetezi katika Kiswahili

utetezi

nominoPlural utetezi

  • 1

    hoja ya kutetea mtu, kitu au fikira.

  • 2

    namna au jinsi ya kutetea.

Matamshi

utetezi

/utɛtɛzi/