Ufafanuzi wa uti wa mgongo katika Kiswahili

uti wa mgongo

  • 1

    mtungo wa mifupa ambao huanzia kwenye shingo ya mtu au mnyama hadi kwenye mkia.