Ufafanuzi wa utii katika Kiswahili

utii

nomino

  • 1

    nidhamu au adabu ya tabia.

    usikivu

Asili

Kar

Matamshi

utii

/uti:/