Ufafanuzi wa utoneo katika Kiswahili

utoneo

nominoPlural utoneo

  • 1

    namna au jinsi ya kutonea.

Matamshi

utoneo

/utɔnɛjɔ/