Ufafanuzi wa utwana katika Kiswahili

utwana

nomino

  • 1

    hali ya mwanamume kufanyishwa kazi kama mtumwa.

Matamshi

utwana

/utwana/