Ufafanuzi wa uwajibikaji katika Kiswahili

uwajibikaji

nomino

  • 1

    kitendo cha mtu mwenye wadhifa kuchukua dhamana ya kosa lililofanywa ama na yeye mwenyewe au mtu mwingine aliye chini yake, agh. kwa kujiuzulu.

    masuuli

Matamshi

uwajibikaji

/uwaʄibikaʄi/