Ufafanuzi msingi wa uwalio katika Kiswahili

: uwalio1uwalio2uwalio3

uwalio1

nomino

  • 1

    mtego wa samaki unaozuia mdomo wa mto.

Matamshi

uwalio

/uwaliɔ/

Ufafanuzi msingi wa uwalio katika Kiswahili

: uwalio1uwalio2uwalio3

uwalio2

nomino

  • 1

    kiti cha kutawazia maakida.

Matamshi

uwalio

/uwaliɔ/

Ufafanuzi msingi wa uwalio katika Kiswahili

: uwalio1uwalio2uwalio3

uwalio3

nomino

  • 1

    vijiti vya makuti vinavyowekwa chini ya kikaango au chungu kuzuia kinachopikwa k.m. ndizi mbivu au samaki, kisiungue.

Matamshi

uwalio

/uwaliɔ/