Ufafanuzi msingi wa uwanda katika Kiswahili

: uwanda1uwanda2

uwanda1

nominoPlural nyanda

 • 1

  pahali pa wazi pasipo na nyumba au miti mikubwa.

 • 2

  pahali pasipo na vilima.

  tambarare

Matamshi

uwanda

/uwanda/

Ufafanuzi msingi wa uwanda katika Kiswahili

: uwanda1uwanda2

uwanda2

nominoPlural nyanda

 • 1

  mahali panapofanywa utafiti.

  maskanini

Matamshi

uwanda

/uwanda/