Ufafanuzi msingi wa uzinduzi katika Kiswahili

: uzinduzi1uzinduzi2

uzinduzi1

nominoPlural uzinduzi

  • 1

    hali ya kumfanya mtu afahamu jambo fulani.

  • 2

    hali ya kumtoa mtu katika bumbuazi au usahaulifu.

Matamshi

uzinduzi

/uzinduzi/

Ufafanuzi msingi wa uzinduzi katika Kiswahili

: uzinduzi1uzinduzi2

uzinduzi2

nominoPlural uzinduzi

  • 1

    sherehe za kufungua au kuanzisha kitu rasmi.

Matamshi

uzinduzi

/uzinduzi/