Ufafanuzi wa uzulufu katika Kiswahili

uzulufu

nomino

  • 1

    hali ya kupungukiwa na akili kwa sababu ya uzee.

Matamshi

uzulufu

/uzulufu/