Ufafanuzi wa vinjari katika Kiswahili

vinjari

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    pitapita au zungukazunguka mahali kwa madhumuni ya kutaka kuchungua.

  • 2

    jizatiti, pania

Matamshi

vinjari

/vinʄari/