Ufafanuzi wa viringika katika Kiswahili

viringika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda au geuka kwa kuzunguka k.v. gurudumu.

  • 2

    kuwa katika hali ya duara.

Matamshi

viringika

/viringika/