Ufafanuzi wa visha katika Kiswahili

visha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    valisha mtu mavazi.

Matamshi

visha

/vi∫a/