Ufafanuzi wa vita katika Kiswahili

vita

nominoPlural vita

 • 1

  mapigano baina ya k.v. watu, wanyama au mataifa.

  ‘Vita Vikuu vya Pili’
  methali ‘Vita havina macho’
  methali ‘Vita vya panzi furaha ya kunguru’
  methali ‘Vita vya ndugu haviamuliki’
  bangu, harubu, kondo, husuma, kitali, mapigano, shonde, adharusi, ghazi, bangu, kigambo

Matamshi

vita

/vita/