Ufafanuzi wa vugua katika Kiswahili

vugua

kitenzi sielekezi

  • 1

    tokeza upande wa pili wa kitu baada ya kupita katikati ya k.v. msitu.

Matamshi

vugua

/vuguwa/