Ufafanuzi wa vuka katika Kiswahili

vuka

kitenzi elekezi

 • 1

  toka upande mmoja wa kitu k.v. mto, barabara na kwenda upande wa pili.

 • 2

  toka ng’ambo moja hadi nyingine.

  ‘Vuka mto’
  ‘Vuka barabara’
  kiuka, dupa

Matamshi

vuka

/vuka/