Ufafanuzi wa vurugu katika Kiswahili

vurugu

nominoPlural vurugu

  • 1

    hali ya kutokuweko na makini au kusikilizana.

    fujo, ghasia, vurumai, mchanguzo, songombigo, zahama, mchafukoge, rabsha, tandabelua, zogo

Matamshi

vurugu

/vurugu/