Ufafanuzi wa vuvia katika Kiswahili

vuvia, vivia

kitenzi elekezi

  • 1

    toa pumzi kwa nguvu kwa kupitia kinywani, kwenye pampu, n.k. na kuiingiza katika kitu au mahali fulani.

    ‘Vuvia moto’
    ‘Vuvia kiriba’
    puliza, fukuta