Ufafanuzi wa vuvumua katika Kiswahili

vuvumua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    fanya jambo au kitu kiwe kikubwa.

    kuza

Matamshi

vuvumua

/vuvumuwa/