nominoPlural nyalio
- 1
(agh. hutumika kwa wingi) kipande cha kijiti kinachowekwa pamoja na vyenziwe kwenye chungu au sufuria ili kinachopikwa kisipate kuungua.
nominoPlural nyalio
- 1
namna ya uzio wa kukamatia samaki.