Ufafanuzi wa wallahi! katika Kiswahili

wallahi!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumika katika kuapa au kuthibitisha kwamba linalosemwa ni la kweli; katika jina la Allah au Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

wallahi!

/wallahi/