Ufafanuzi msingi wa wanga katika Kiswahili

: wanga1wanga2wanga3wanga4

wanga1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa, ~wa

 • 1

  uma kwa kuleta maumivu k.v. kichwa.

  ‘Kichwa kinaniwanga’
  ‘Mwili unaniwanga’

Matamshi

wanga

/wanga/

Ufafanuzi msingi wa wanga katika Kiswahili

: wanga1wanga2wanga3wanga4

wanga2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa, ~wa

 • 1

  tafuta idadi ya kitu.

  hesabu, anga

Matamshi

wanga

/wanga/

Ufafanuzi msingi wa wanga katika Kiswahili

: wanga1wanga2wanga3wanga4

wanga3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa, ~wa

 • 1

  fanya mazingaombwe ya uchawi usiku.

  anga

Matamshi

wanga

/wanga/

Ufafanuzi msingi wa wanga katika Kiswahili

: wanga1wanga2wanga3wanga4

wanga4 , uwanga

nominoPlural wanga

 • 1

  unga mweupe unaotokana agh. na nafaka, viazi au mihogo ambao ni sehemu kuu ya chakula cha binadamu na huweza pia kutumika kunyoshea nguo.

  kanji, nisha

 • 2

Matamshi

wanga

/wanga/