Ufafanuzi wa waria katika Kiswahili

waria

nominoPlural mawaria

  • 1

    mtu aliye hodari au bingwa wa kazi, agh. za mikono k.v. ujenzi, useremala au uhunzi.

  • 2

    fundi mchundo.

Matamshi

waria

/warija/